Friday, December 12, 2014


Hii ni habari njema kwa WanaLudewa na vitongoji vyake kwani huduma muhimu sana imeletwa karibu yako. Huduma bora ya Intaneti yenye kasi zaidi na kwa ubora wa hali ya juu inapatikana eneo la Milango Saba, Ludewa Mjini upande wa soko au waweza kuwapata kwa mawasiano haya 0764 987588 au 0655 987588 au e-mail: info@nyasapro.co.tz au kwa kutembelea tovuti yao ya www.nyasapro.co.tz ili uweze kujionea huduma zaidi.

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

TRANSLATE

OUR VISITORS

POPULAR POSTS

FACEBOOK FAN PAGE